Wakazi wa manispaa ya Dodoma
wametakiwa kutambua umhimu wa kutunza misitu asilia.
Akizungumza na Uhakika Info mkuu wa
kitengo cha utunzaji misitu Makae Festo kutoka Shirika la World Vision amesema
kuwa misitu asi
lia inafaida kubwa hivyo jamiki in atakiwa kutambua umhimu wake
na kuitunza.
Aidha amewataka wananchi kuacha
dhana ya kuwa utunzaji wa miti ni jukumu la wakulim a kwani linapotokea tatizo
la ukame ni la wote na sio wakulima pekee.
Kwa upande wake Bi Joyce Chonge
Afisa misitu kanda ya Kati amesema kuwa wanao mkakati maalumu kwa kulinda na
kuiendeleza misitu asili yote.
Bi bethi Paulo ni miongoni mwa
wananchi wanaojihusisha na utunzaji wa misitu Asili mara baada ya kupatiwa
elimu na Shirika La world Vision na ameitaka jamii kutunza misitu hhiyo kwa
kiasi kikubwa.
0 comments:
Post a Comment