Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau
na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli kwao maisha wana wivu na wanathubutu
kumzomea atakuwa anatunukiwa Shahada ya Uzamivu(Phd) na Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam(UDSM) kwa kuthamini mchango wake kwenye jamii...Honorary Phd hata Raisi
wetu anayo...
Alongside DIAMOND mwingine atakayepewa Shahada hii ya Heshima
kwenye Mahafali haya ni Balozi Fulgence Kazaura ambaye amewahi kuwa VC wa UDSM miaka ya nyuma!!
Ningependa kuwakaribisha wale Wazomeaji woooteee wenye sauti mbaha kabisa waweze kufika kwenye Viwanja vya UDSM kushuhudia Tukio la Kihistoria kwa Mtoto huyu wa Tandale ambaye ni BIDII NA HESHIMA Vimemfikisha hapa..
SHKAMOO DR.NASIBU ABDUL au Pengine DR.DIAMOND PLATNUMZ au ukitaka swaga DR.PLATNUMZ BABY!
Sky is never the limit!Hongera kwa Mameneja waliomfikisha DIAMOND hapo alipo @babutale @mkubwafella na @sk_ent
Kudos bro @diamondplatnumz.
WEWE UNA LIPI LA KUSEMA.....sema nasi kupitia mawasiliano hayo....msigwastanley@gmail.com....+255658001999
0 comments:
Post a Comment