Na Nazael Mkude
Serikali imeahidi
kushirikiana na idara na taasisi mbalimbali kwa lengo la kuboresha maonesho ya
sikukuu ya wakulima Nane Nane.
Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa maliasili na utalii
Mohamud Hassan Mgimwa alipokuwa akizungumza katika uzinduzi wa maonesho ya Wakulima Mkoani
Dodoma ambapo amesema karibu aslimia
kubwa ya wananchi ni wakulima hivyo serikali
itashirikiana na taasisi mbalimbali ili kuboresha sekta hiyo
Aidha Naibu waziri huyo amesema maonesho haya yataendelea
kuboreshwa mwaka hadi mwaka ili yawe na mfano wa kuigwa kwa kanda nyingine .
Mbali na hayo amesema
kanda ya kati ina fursa nyingi kwa upande wa uzalishaji wa kilimo na
ufugaji ikiwa ni pamoja na kuwa na ardhi ya kipekee yenye
rutuba .
0 comments:
Post a Comment