MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Monday, 31 August 2015

VANESSA MDEE:KILA KITU KANIFUNZA MAMA

VANESSA MDEE AMESEMA KILA KITU JUU YAKE AMEJIFUNZA KUTOKA KWA MAMA YAKE!!!
 WAWAZE MSIKILIZA HAPA CHINI ALICHOKISEMA>>.
Share:

Wednesday, 26 August 2015

(SAUTI)YOUNG DEE HII NDO ELIMU KWA RAIA(DO IT)

RAPA YOUNG DEE KASEMA TRACK YA DO IT ALIYOMSHIRIKISHA BEN PAUL NI ELIMU KWA RAIA YEYOTE NA HAMASA KWA KIJANA DHIDI YA UCHAGUZI WA MWAKA HUU,.
"AMKA KIJANA USILALE FANYA KWELI"MIONGONI MWA MASHAIRI YALIYOMO

SIKILIZA ALICHO KISEMA HAPA CHINI.
Share:

Friday, 21 August 2015

AUDIO:FACE G-BABY GO EXTEND REMIX:DOWNLOAD

SIKILIZA HAPA WIMBO WA FACE G-BABY GO IKIWA NI EXTEND REMIX AMBAYO IMETEYARISHWA NA DJ_SINGLE_S WA 97.0MHz.

DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>
Share:

Thursday, 20 August 2015

OFFICIAL AUDIO-P NESTA FT RAN P--VICK_DOWNLOAD&LISTEN


BAADA YA KUHIT NA TRACK KADHAA AMBAZO ALITENGENEZA NYUMA HUKO HIT MAKER WA "FIRST IN LOVE" P NESTA SASA KAJA NA MZIGO MPYA UNAITWA VICK KAMSHIRIKISHA RAN P-PRODYUZA NI VAN B

DOWNLOAD HAPA CHINI>
Share:

Tuesday, 18 August 2015

NEW MUSIC:MAN T MKALI-USIONDOKE-DOWNLOAD &LISTEN

MAN T MKALI A.K.A MZEE WA SAGALA KAJA NA MZIGO MPYA SAIZ UNAITWA USIONDOKE-KATENGENEZA,VAN B NA CHRIS,
DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>
Share:

Friday, 14 August 2015

MUSIC:SPACK FT VUMILIA-BINADAMU WABAYA EXTENDED REMIX DOWNLOAD

Mkwaju wa spack amemshirikisha vumilia,unaitwa Binadamu wa baya.,arijino version imetengenezwa na maneck Am records lakini hii hapa ni Extended remix imefanywa na Dj Single S.kupitia production za 97.0 Mhz Katavi.
Sikiliza na Download hapa.
Share:

Tuesday, 4 August 2015

SIMANZI:KIGOGO KAMTELEKEZA MKE NA WATOTO 3 KISA DARASA LA SABA.PART 2


Na-MwandishiWetu,Singida.

MDAI katika Kesi ya madai ya talaka Magreth Mwangu  dhidi yaMkurugenzi wa Shule ya St. Mathew, Thadei Mtembei amehoji uhalali wamahakama kufikia kukagua mali zake siku ya Jumamosi  bila kupitiamahakama yoyote hapa Singida.

Share:

Saturday, 1 August 2015

VURUGU:UCHAGUZI KURA ZA MAONI CCM KATA YA IGOSI ZA TIBUKA.(SIKILIZA HAPA) AUDIO

Wakati zoezi la kupiga kura za maoni katika maeneo mbalimbali ndani ya Chama Cha mapinduzi CCM,kwa ajili ya kuwapata wagombea wa kupeperusha chama kwa ngazi ya ubunge na udiwani, katika uchaguzi mkuu mwezi octoba,
Share:

Blog Archive