Na prosper Mfugale-njombe & msigwa stanley_katavi
Imetajwa
Kuwa Shughuli Za Kilimo Ndio Zinaongoza Kwa Uhalibifu Wa Mazingira Kwa Kiasi
Kikubwa Ikilinganishwa Na Nyingine.
Hayo
Yameelezwa Na Katibu Wa Mashirika Njombe (Njodingo)Bw.Richard Nziku Wakati Tanzania Ikiadhimisha Siku Ya
Mazingira Duniani Ambapo Amesema
Mashirika Binafsi ,Na Serikali Yanawajibu Wakutoa Elimu Juu Ya Utunzaji
Kwa Wananchi Ili Watambue Uhifadhi Na Matumizi Sahihi Ya Mazingira.
Ili Asasi Binafsi Ziweze Kufikisha Elimu Kwa Mwananchi Na Kwawakati
Husika Kunamambo Inabidi Yawepo Ndani Ya Asasi,Je Ni Yapi? Bwana Nziku
Anabainisha.
‘‘Kutokuwa na watalamu wa
kuandika mikakati endelevu ni chanzo ambacho kinakwamisha mara tu baada ya
wafadhili wakiondoka.”
Kwa Upande Wake Bwana Sebastiani Mkazi Wa Njombe Amesema Kuwa
Mabadiliko Ya Mazingira Kwa Kiasi Kikubwa Yanaharibiwa Na Hali Ya Hewa
Ukitofautisha Na Hapo Zamani.
Siku Ya Mazingira Duniani Huazimishwa Kila Mwaka
Tarehe 1 - 5 Juni Na , Maonesho Hayo Yalifunguliwa Rasmi Na Tarehe 1 Mei,2015, Na
Waziri Wa Uchukuzi, Mheshimiwa Samwel Sitta Kwa
Niaba Ya Makamu Wa Rais Mheshimiwa Dkt . Mohamed Gharib Bilal
Ambapo Mwaka Huu Maadhimisho Hayo Yanaongozwa Na
Kaulimbiu “ Ndoto Bilioni Saba. Dunia Moja. Tumia Rasilimali Kwa
Uangalifu” (Seven
Billion Dreams. One Planet. Consume With Care)..
0 comments:
Post a Comment