Tanzania Anthem

Thursday, 4 June 2015

{AUDIO}INTERVIEW MKOLONI WA WAGOSI WA KAYA NA DJ SINGLE S .

NMM_NGOMA MCHAKA MCHAKA  NIKIPINDI CHA BURUDANI AMBACHO HURUKA KWA SIKU NNE JUMA TATU MPAKA ALIHAMISI AMBAPO HABARI,NA TAARIFA MBALIMBALI ZA KIBURUDANI HUSIKIKA.



NA KINAFANYWA NA MSIGWA STANLEY A.K.A DJ SINGLE S PAMOJA NA MWANAKATWE.LEO HII KAMA VIPI KULIKUWA NA MAHOJIANO NA MIONGONI MWA WANAKUNDI LA WAGOSI WA KAYA(MKOLONI)

KAMA ULIIKOSA SHOW YA NGOMA MCHAKA MCHAKA LEO HII MCHANA BASI NAFASI
YAKO KUISIKILIZA HAPA..

DOWNLOAD NA SIKILIZA
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive