MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Tuesday, 30 June 2015

MUSIC:AUDIO ALLY PIC NAUMIA DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA

wimbo mpya wa Msanii Ally Pic unaitwa Naumia-Umetengenezwa ZBM Producition chini ya mtayarishaji DingaBoy.
Download Na sikiliza Hapa>>
Share:

Monday, 29 June 2015

NEW MUSIC:STEVEBOY-NIENDE NAWE DOWNLOAD &LISTEN

SIKILIZA HAPA WIMBO MPYA WA MSANII CHIPUKIZI KUTOKA KATAVI ANAITWA STEVE BOY WIMBO UNAITWA NIENDE NAWE UMETAYARISHWA NA PRO.VAN B WA ONJENI REC
 DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>> 

Share:

Sunday, 28 June 2015

Thursday, 25 June 2015

MUSIC:QWEEN H--NINUSURU-DOWNLOAD &LISTEN

MWANADADA QUEEN H KAJA NA WIMBO WAKE MPYA UNAITWA NINUSURU IMETENGENEZWA NA DINGA BOY KUTOKA STUDIO ZA ZBM PRODUCTION ENEO LA SHANWE MPANDA MJINI.
DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>
Share:

Wednesday, 24 June 2015

AUDIO:PEACE MAKER--WHY(UMESEPA) -DOWNLOAD &LISTEN

KWA MARA NYINGINE TENA HITMAKER WA MAPENZI MATAMU MAARUFU KAMA (PEACEMAKER)KAJA NA MZIGO MPYA UNAITWA WHY UMESEPA  KAZI IMETENGENEZWA EBENEZA REC MKOANI DODOMA.

DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA>>
Share:

Thursday, 18 June 2015

(AUDIO) DOWNLOAD & LISTEN::R.M.K FT S.MAPOZI--HATA KAMA KIJIJINI

HAWA NI WASANII WAPYA KUTOKA KATAVI ENEO LA MPANDA NDOGO JAPO WANATRACK NYINGI,WALIZORECORD ILA SASA WAMEANZA NA KUTOA WIMBO UNAOITWA HATA KAMA KIJIJI. UMETENGENEZWA NA SINDANO JADA REC. 

DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA.
Share:

Wednesday, 17 June 2015

NEW AUDIO(HR FT ADJAST--NENDA ZAKO

Hii hapa track mpya ya HitMaker wa kesha ambayo safari hii kamshirikisha mwanadada Adjast, Track inaitwa nenda Zako imetengenezwa na prodyuza Van B 

DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA CHINI>

Share:

AUDIO)DOWNLOAD NASHWAY-NAKUFUTA MACHOZI(UHAKIKA-INFO)

DONLOAD NA USIKILIZE HAPA WIMBO MPYA KUTOKA KWA NASHWAY WIMBO UMETENGEZWA ONJENI REC NA MTAYASHAJI NI VAN B 
Share:

Monday, 15 June 2015

NEW AUDIO)LAU WA JOHN FT MO MUSIC-BADO NIKO NAE

KUTOKA MWANZA AMBAKO KUNA MASTAA MBALIMBALI WA MZIKI HAPA NCHINI,DOGO MWINGINE HUYU HAPA NI UPCOMING. TRACK YAKE INAITWA BADO NIPO NAE KAMSHIRIKISHA MO MUSIC MSHIRIKI WA KTMA 2015

 DOWNLOAD NA SIKILIZA >>
Share:

Wednesday, 10 June 2015

AUDIO(INTERVIEW) MSIGWA,MWANAKATWE Vs SAM BOY,OCHODO &RAN P ON NGOMA MCHAKA MCHAKA

Hii hapa interview Kati ta kundi la Wasaka Tonge na Dj Single S akiwa na Mwanakatwe The boy Kwenye (NMM) Ngoma Mchaka Mchaka.

download &listen   

Share:

Friday, 5 June 2015

''KILIMO KINAONGOZA KWA UHARIBIFU WA MAZINGIRA''>>

Na prosper Mfugale-njombe & msigwa stanley_katavi

Imetajwa Kuwa Shughuli Za Kilimo Ndio Zinaongoza Kwa Uhalibifu Wa Mazingira Kwa Kiasi Kikubwa Ikilinganishwa Na Nyingine.
Share:

Thursday, 4 June 2015

{AUDIO}INTERVIEW MKOLONI WA WAGOSI WA KAYA NA DJ SINGLE S .

NMM_NGOMA MCHAKA MCHAKA  NIKIPINDI CHA BURUDANI AMBACHO HURUKA KWA SIKU NNE JUMA TATU MPAKA ALIHAMISI AMBAPO HABARI,NA TAARIFA MBALIMBALI ZA KIBURUDANI HUSIKIKA.

Share:

Wednesday, 3 June 2015

(AUDIO) LEAKEAD DIAMOND PLATNUMZ-NITAKUKUMBUKA

HII NDO NYIMBO YA DIAMOND AMBAYO INADAIWA KUVUJA INAITWA NITAKUKUMBUKA. KWA TEMBO ZINAZOENDA.
Share:

Monday, 1 June 2015

NEW AUDIO::DOWNLOAD MEN BOY--KISA DINI

MSANII MEN BOY KUTOKA KASEKESE AMEKUJA RAUNDI HII NA WIMBO WA UNAITWA
Share:

Blog Archive