MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Thursday, 25 September 2014

POLISI DODOMA YA OKOTA VIPEPERUSHI VYA UVUNJIFU WA AMANI.


Na Stanley Msigwa                                                           Chanzo jeshi la polisi

Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limesema  leo alfajiri vimeokotwa vipeperushi  maeneo mbalimbali  mjini hapa vyenye  ujumbe unao chochea uvunjifu wa amani.
Share:

Tuesday, 23 September 2014

HABARI NJEMA KWA "MSPS" BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Kile chuo bora kwa kutoa wataalamu wa taaluma mbalimbali mjini,vijijini hadi jijini...ili kuhakikisha wanatoa output ya uhakika safari hii wamekuja na mambo mapya,na wanakuletea radio rasmi inayojulikana kwa jina la PROFESSIONAL FM.

Share:

Wednesday, 17 September 2014

NEW AUDIO#DOGO D-SIWEZI KUWA WAKO

rapper mdogo kuliko wote kwa sasa tz Kutoka jiji la mawe,rock city mwanza! amekuja kwa awamu nyingine na track mya inayoenda kwa jina la siwez kuwa wako.imetengezwa na nunda rec.

ipakue hapa na usikilize bonge moja la hiphop.

Share:

Saturday, 13 September 2014

NEW!!! P SQUARE FT AWILO LONGOMBA-ENEMY DOWNLOAD

ILI KUWA HAKIKISHIA MASHABIKI KUWA  VIJANA WANAWEZA ZAIDI SAFARI HII WAMEKUJA NA BOLINGO KALI HII HAPA CHINI ISKILIZE WAMEMSHIRIKISHA NGULI WA MZIKI HUO AWILO KUTOKA DRC CONGO.
Share:

Blog Archive