MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Wednesday, 31 August 2016

Roby Tone Mavoko_nakuombea Dua=Download&Listen

msanii chipukizi katika mziki wa kizazi kipya bongo flava anaejulikana kama Roby Tone Mavoko kaja tena mzigo mpya huu hapa waweza download na kusikiliza hapa chini.

Share:

Monday, 8 August 2016

AUDIO:MAONESHO YA 8/8.2016 HAYANA UHALISIA NA MKULIMA/MFUGAJI_SOMA ZAIDI

Hii ni moja kwa moja toka viwanja vya  8/8 Arusha yanakofanyika kikanda  _na kutoka wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro  nimekutana na Diwani wa Masama Kusini.

Share:

NEW MUSIC| TUNAFISH x MABANO BOB=MWENDO KASI DOWNLOAD & LISTERN


KIZAZI KIPYA CHA BONGO FLAVA WAMETUSOGEZEA MDUNDO WAO MPYA HUU UNAITWA MWENDO KASI.
BONGE MOJA LA JOINT IMETENGENEZWA NA ABA PROCESS ALIYETENGENEZA KAMA UTANIPENDA YA DARASA x RICH MAVOCO KANYONGA TENDA MDUNDO HUU.

WA MABANO BOB AKIPEWA SHAVU  NA TUNAFISH

DOWNLOAD NA USIKIE HAPA CHINI
Share:

DIWANI WA MASAMA MH,MASSAWE KAYAONGEA HAYA BAADA YA KUSHIRIKI 8/8/2016


Alicho kisema diwani wa masama kusini wilaya ya Hai Mkoani kilimanjaro mheshimiwa elingaya Massawe. Mara baada ya kushiriki maonesho ya 23 ya Nane nane yanayofika kilele leo kikanda jijini Arusha.
download msikilize hapa akizungumzia nane nane 2016.
Share:

Blog Archive