MUSIC:BEX WAMUSIC-NISAMEHE DOWNLOAD AND LISTEN

kutoka kwa Msanii Bex wa Music Kakusogezea audio Hii hapa.Nisamehe Imetayarishwa na Dir Shack..

MAPENGO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.(Mzee Wa Info)

Muungano wa asasi za kiraia unaoshawishi, kuimarishwa kwa mazingira ya sheria na sera ya usalama barabarani..

NEW MUSIC:RYCHRIS-SHUKA BWANA--GOSPLE-DOWNLOAD

MWIMBAJI WA MZIKI WA INJILI RUMISHAEL ULOMI (RYCHRIS) KWA SASA AMEKUSOGEZEA KAZI HII MPYA YA SHUKA BWANA..

AUDIO:WAJUE GENEOUS WAVUMBUZI WA 3G,4G ..(Mzee wa Info)

The giniazi(Geneous) ndo muda wake kwa sasa Mzee wa Info nakusogezea majiniazi wa vitu mbalimbali huku ulimwenguni

CHANZO CHA ZERO SHULE ZA MSINGI HIKI HAPA..SIKILIZA NA DOWNLOAD..

Ugumu wa soko la Ajira si tatizo la Tanzania pekee bali karibia mataifa yote ulimwenguni yanakumbana na changamoto hii,lakini tatizo ni kubwa zaidi kwa mataifa ya ulimwengu wa tatu

Tanzania Anthem

Saturday, 30 May 2015

AUDIO:DIAMOND PLATNUMZ FT MR FLAVOUR-NANA>>

WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ AKIMSHIRIKISHA MR FLAVOUR KUTOKA NIGERIA UNAITWA NANA UMETENGENEZWA THE INDURSTRY NA PRODUCER NAHREEL NA VIDEO IMETENGENEZWA NA GOD FATHER AFRIKA KUSINI HII NI MARA BAADA YA WIMBO WA NASEMA NAWE KUANZA KUHIT KIMATAIFA. 
 DOWNLOAD  AND LISTEN>>

Share:

Thursday, 28 May 2015

SERIKALI YATAKIWA KUWAANGALIA KWA JICHO LA TATU>>

Na Lutakilwa Lutobeka_Mpanda

Wananchi wanaofanya kazi katika ya kupepeta mchele katika kata ya Mpanda hoteil wilayani Mpanda mkoani KATAVI wameitaka serikali kuwapatia mtaji ili waachane na kazi hiyo kwani ni hatari kwa afya zao.
Share:

Monday, 25 May 2015

ULIZIMISI HIZI??? BOFYA KUONA ORODHA KAMILI.

24-5-2015 TOP 20 MPANDA RADIO.

1. CHRIS BROWN FT TYGA=AYO.
 2 LINEX FT DIAMOND—SALIMA.
3. ALIKIBA=CHEKECHA CHEKETUA 
4. BEN PAUL=SOPHIA
5. JUX-NIKUITE NANI .
Share:

Tuesday, 19 May 2015

NEW!!DOWNLOAD & LISTEN RAN P-MI WA LEO

DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA WIMBO MPYA WA RAN P UNAITWA MI WA LEO,UMETAYARISHWA KATIKA STUDIO ZA MP RECORD.
BOFYA KUDOWNLOAD NA KUSILIZA>>  
Share:

Thursday, 14 May 2015

DOWNLOAD&LISTEN OCHODO FT SPIZZY WA KWANZA-GOD BLESS MY LIFE

ngoma mpya kutoka kwa ochodo ft spizzy wa kwanza inaitwa God Bless My life bonge moja hiphop Download na Sikiliza hapa chini

Share:

NEW AUDIO:SAM BOY FT OCHODO-SURPRISE

download na sikiliza hapa wimbo mpya wa sam boy ft ochodo inaitwa surprise
Umetayarishwa na produzya van B
bofya kusikiliza na kudownload
Share:

Sunday, 10 May 2015

TOP 20 YA 97.0 WIKI JANA

3-5-2015 TOP 20 MPANDA RADIO 

1. CHRIS BROWN FT TYGA=AYO..
 2 RICH MAVOKO-PACHA WANGU
3. Hr ft Apollo=kesha…..BY VAN B 
4. BEN PAUL=SOPHIA
5. AY-ZIGGO
Share:

Blog Archive