Tanzania Anthem

Monday, 9 June 2014

UDOMU-,IFM,NA USTAWI WAPETA KATIKA MISS INTER-COLLAGE

warembo hao wakipita  kwa madaha mbele ya jukwaa la royal hall

................................................................................................................

Mamiss wakionyesha baadhi ya ujuzi waliojaariwa kwenye kucheza

Mamiss wakionyesha baadhi ya ujuzi waliojaariwa kwenye kucheza

Mamiss wakionyesha baadhi ya ujuzi waliojaariwa kwenye kucheza

moja ya mshiriki wa shindano hilo akihojiwa na mtangazi wa dodoma fm quick de master 

mshindi wa kwanza katika mashindano hayo anatoka chuo kikuu cha dodoma  anajulikana kama sophia masei,wa pili kutoka IFMna watatu kutoka Ustawi wa jamii ya Dar es Salaam.

pia mashindano hayo yalihudhuliwa na  Naibu waziri wa habari,vijana burudani na michezo Mh.Juma Nkamia


Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive